Ili kutuma maombi na pasipoti mpya kwa waombaji kuna gharama ya Posta SEK 200 ambayo ni tofauti na ada ya pasipoti iliyolipwa Uhamiaji. Gharama ya Posta iwekwe kwenye akaunti ya Ubalozi:

Kwa malipo ndani ya Sweden: Account Number (Plus Giro Nr.) 103 7471-8.

Malipo nje ya Sweden:
Bank Identification Code (BIC/Swift)
Address: NDEASESS
International Bank Account Number (IBAN): SE2895000099604210374718 (usiache nafasi).

Ukiisha lipia tafadhali ambatanisha risiti yako katika barua pepe inayoomba kutumiwa pasipoti yako mpya iliyopokelewa na Ubalozi kwa kutumia Email: consular@tanemb.se ukionyesha jina na anuani yako kamili.

Majina ya Wenye Pasipoti zilizopokelewa Tarehe 12/11/2019

 1. Qadir Hamisi
 2. Rajab Mohamed
 3. Tafi Hamisi
 4. Zakia Khamisi
 5. Mohamed Sumbizi
 6. Mabiyu Ntini
 7. Glory Msaky
 8. Dotto Mkinga
 9. Emily Kiswaka
 10. Saraphia Shirima
 11. Amin Ngomasere
 12. Florence Mwakanyamale
 13. Enny Mchomvu
 14. George Mkoma
 15. Rachel Sigalla
 16. Mariam Suleiman
 17. Diana Mkoma
 18. Frank Mlingi
 19. Taiba Omari

Majina ya Wenye Pasipoti na Vyeti vilivyopokelewa Tarehe 30/10/2019

 1. Pendo Sabuni
 2. Bariki Karoli
 3. Susan Kilawe
 4. Sharifa Shomari
 5. Japhet Ntwalle
 6. Whitney Mhinah
 7. Oras Mkinga
 8. Patrick Mwaiselage
 9. Judith Jensen
 10. Luther Akyoo
 11. Franko Mbise
 12. Allan Beshael
 13. Hasna Yusufu
 14. Hussein Bakari
 15. Hawa Zaar
 16. Marry Panduka
 17. Veronica Lyimo
 18. Glory Elias
 19. Joshua Elias
 20. Mercy Elias
 21. Margareth Oevrum
 22. Magret Mkiramweni
 23. Johanssen Mtegeki
 24. Mwesiga Kasenene
 25. Bwandilo Mwaseba
 26. Omar Yusuph
 27. Peter Kijanga
 28. Carlson Mutajwaa
 29. Yohana Machalila
 30. Olof Awiti
 31. Mustafa Yusuf Suleimanji

Vyeti vya Kuukana Uraia

 1. Karen Edward Masao
 2. Aneka Sarah Vumilia