Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden unapenda kuwatangazia raia wa Tanzania waishio katika nchi za Nordic, Baltic na
Ukraine kuwa mfumo wa maombi ya Pasipoti mpya za kielektoniki umekamilika kufungwa Ubalozini, na tayari ubalozi umeanza rasmi kupokea maombo ya pasi mpya kutoka wa watanzania wanao ishi katika eneo lake la uwakilishi.

Tafadhali soma barua rasmi ya ubalozi iliyo ambatanishwa hapa.

TANGAZO - PASIPOTI MPYA ZA ELEKTRONIKI