Taarifa Kutoka Kwa Balozi Kwenda Diaspora

2020-03-24T13:09:17+01:00March 18th, 2020|Diaspora, Economic Diplomacy, Front Page, News, Tanzania, Watanzania|

Kwa Mwenyekiti TDC Global, Wenyeviti wa Vyama vya Watanzania katika nchi za Nordic, Baltic na Ukraine, na Watanzania wenzangu tulio Ughaibuni. Salamu kwenu wote popote mlipo katika eneo lote la uwakilishi wa Ubalozi wetu. Awali napenda kuwajulisha kuwa nilikuwa Dar-Es-Salaam na Msafara wa Wawekezaji na Wafanyibiashara kutoka baadhi ya nchi ninazoziwakilisha. Napenda kuwajulisha kuwa tulikwenda [...]