find what you’re looking for

Miaka 60 uhuru

Karibu Kwenye Maadhimisho Ya Miaka 60 Ya Uhuru Wa Tanzania Bara

Dear All, Please find enclosed an invitation letter to the celebrations of 60 years of the independence of Tanzania Mainland. Please forward this to your members and Friends of Tanzania. Taarifa zaidi na mipango pia iko kwa KAMATI MAALUMU ya VIONGOZI WA JUMUIYA ZA WATANZANIA SWEDEN. Karibuni Sana.

Serikali Yapunguza Gharama Za Upimaji Wa UVIKO-19 Kwa Wasafiri

The Government of the United Republic of Tanzania has reviewed the cost of the COVID-19 Test for travelers and decided to reduce the cost from 100USD to 50USD for RT PCR Test. The Government has also reduced the cost of Antigen RAPID TEST to 10USD for air travelers. Also, the cost for Antigen RAPID TEST

East Africa Community Business and Investment Forum 2021

The East African AmbassadorsH.E. Christine Nkulikiyinka, Ambassador for RwandaH.E. Willibrod Slaa, Ambassador for TanzaniaH.E. Nimisha Madhvani, Ambassador for UgandaH.E. Diana Kiambuthi, Ambassador for KenyaAnd the chairman of the board at The Swedish East African Chamber of Commerce, Mr. Jan Furuvald, invites you to save the date, April 27th, for the annual East Africa Community Business

Webinar on Manufacturing and Industrial Investment Opportunities in Tanzania

The Embassy of the United Republic of Tanzania in the Nordic Countries, Baltic States, and Ukraine are planning to hold a webinar on manufacturing and industrial investment opportunities in Tanzania. The webinar will be organized in partnership with the Tanzania Investment Center (TIC), The Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture (TCCIA), and the Swedish

TANGAZO – KUANZA KUTOA HUDUMA ZA KIUHAMIAJI UBALOZINI

Ubalozini unapenda kuwatangazia Watanzania wote waishio katika nchi za Nordic, Baltic na Ukraine kuwa umeanza tena kutoa/kupokea maombi ya Pasipoti mpya za Kielektroniki na huduma nyinginezo za Kiuhamiaji kwa wenye mahitaji ambazo zilisimamishwa tangu tarehe 16/3/2020 kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Covid-19. Weka mihadi kwa kutma barua pepe consular@tanemb.se

ITV – Dakika 45 na Balozi Dr Slaa

Dr. Willibrod Slaa, balozi wa Tanzania nchini Swiden akifanya mazungumzo na kituo cha televisheni cha ITV, katika kipindi cha dakika 45.

Tanzania Travel Advisory No.1 Of March 23rd 2020

Due to an ongoing outbreak of respiratory illness caused by a novel coronavirus (COVID-19). The Tanzanian government has instituted additional travel measures to limit the spread of the virus to the general public as of 23rd march 2020. All travelers whether foreigners or returning residents arriving form COVID-19 most affected countries will be subjected to

EAC – BUSINESS AND INVESTMENT FORUM, 2020 (EAC-BIF 2020)

An Investment and Business Forum between EAC (East African Community) and SWEACC (Sweden – East Africa Chamber of Commerce) was held on March 12-13, 2020 in Dar-es-Salaam, Tanzania. The forum was a result of efforts by East African ambassadors in Sweden which aimed to encourage Investment and Business between Sweden and East African countries. The

Taarifa Kutoka Kwa Balozi Kwenda Diaspora

Kwa Mwenyekiti TDC Global, Wenyeviti wa Vyama vya Watanzania katika nchi za Nordic, Baltic na Ukraine, na Watanzania wenzangu tulio Ughaibuni. Salamu kwenu wote popote mlipo katika eneo lote la uwakilishi wa Ubalozi wetu. Awali napenda kuwajulisha kuwa nilikuwa Dar-Es-Salaam na Msafara wa Wawekezaji na Wafanyibiashara kutoka baadhi ya nchi ninazoziwakilisha. Napenda kuwajulisha kuwa tulikwenda

Kusitisha Huduma Za Kikonseli Kwa Muda

HUDUMA ZA KIKONSELI ZINAZOPATIKANA UBALOZINI, SWEDEN, ZIMESITISHWA KWA MUDA KAMA SEHEMU YA HATUA ZA TAHADHARI KUTOKANA NA COVID-19 HADI ITAKAPOTANGAZWA TENA!! Wenye matatizo ya Pasipoti na mengineyo waandike barua ya kujieleza kwa kutumia; consular@tanemb.se Soma zaidi hapa

Kusitishwa Kwa Pasipoti za Zamani (Machine Readable Passports)

Raia wa Tanzania mwenye pasi ya zamani hataruhusiwa kusafiri nje lakini anaruhusiwa kurejea nyumbani kwa kutumia pasipoti hiyo baada ya tarehe 1 Februari 2020. Kwa maelezo zaidi tuma barua pepe:  Makau Makuu Uhamiaji: passporttanzania@immigration.go.tz  au Ubalozi wa Tanzania Sweden: consular@tanemb.se

THE EAC-BUSINESS AND INVESTMENT FORUM – 12-13 MARCH 2020, DAR ES SALAAM, TANZANIA

The EAC-BIF is organised by Embassies from the East African Community (EAC) accredited to the Kingdom of Sweden in partnership with the Swedish-East Africa Chamber of Commerce (SWEACC). The 2020 forum is planned to take place on 12 – 13 March 2020 at SERENA HOTEL in Dar es Salaam, Tanzania under the heading “Green Solutions

Tanzania Hosts a Meeting of Africa -Nordic Foreign Affairs Ministers

Tanzania Hosts a meeting of Africa -Nordic foreign affairs ministers November 8, 2019, in Dar es Salaam. H.E President John Magufuli officiated the meeting. In attendance were five foreign affairs ministers from Sweden, Denmark, Finland, Norway and Iceland who were accompanied by Dr. Willibrod Slaa and other Ambassadors of African countries in the Nordic countries.

NYERERE DAY: HELSINKI – FINLAND 19 October 2019

Tanzanian Diaspora in Finland invites you to Celebrate the Legacy of the Late Mwl. J. K. Nyerere on the 19th October 2019 in Helsinki. There will be a Panel Discussion on the Legacy of Mwl. Nyerere and a presentation of current Investment and Business Opportunities in Tanzania. The Guest of Honour will be H.E Willibrod

didn't find what you are looking for?

search again