Balozi, Mh. Willibrod Slaa alikuwa mgeni rasmi katika Sherehe ya Miaka 57 ya Uhuru Tanzania tarehe 8/12/2018 iliyoandaliwa na wanajumuiya ya Watanzania, Finland