PASIPOTI MPYA ZA KIELETRONIKI

Ubalozi wa Tanzania – Stockholm uko katika matayarisho ya kuanza kupokea maombi ya pasipoti mpya kwa Watanzania waishio katika eneo lake la uwakilishi. Mh. Balozi Slaa amekuwa mmoja waliowakilisha maombi katika hatua ya kufanya majaribio ya mtambo.

Pia mafunzo kwa wafanyakazi wa Ubalozi yanaendelea kutolewa na watendaji wa Uhamiaji Makao Makuu. Kwa maelezo zaidi juu ya huduma hii tafadhali tembelea hapa