Raia wa Tanzania mwenye pasi ya zamani hataruhusiwa kusafiri nje lakini anaruhusiwa kurejea nyumbani kwa kutumia pasipoti hiyo baada ya tarehe 1 Februari 2020.

Kwa maelezo zaidi tuma barua pepe:  Makau Makuu Uhamiaji: passporttanzania@immigration.go.tz  au Ubalozi wa Tanzania Sweden: consular@tanemb.se