HUDUMA ZA KIKONSELI ZINAZOPATIKANA UBALOZINI, SWEDEN, ZIMESITISHWA KWA MUDA KAMA SEHEMU YA HATUA ZA TAHADHARI KUTOKANA NA COVID-19 HADI ITAKAPOTANGAZWA TENA!!
Wenye matatizo ya Pasipoti na mengineyo waandike barua ya kujieleza kwa kutumia; consular@tanemb.se
Soma zaidi hapa
Kusitisha huduma za kikonseli kwa muda