Ubalozi unapenda kuwajulisha kuhusu fursa ya uwekezaji wa nyumba chini ya mradi uitwao Hamidu City Park uliopo Kigamboni jijini Dar es Salaam. Mradi huo unaomilikiwa na Bw. Hamidu Hemed Mvungi, una eneo lenye ukubwa wa ekari 140 ambalo lina nyumba 120 hivi sasa, zinazouzwa kwa gharama ya kuanzia Dola za Kimarekani 57,000 hadi 140,000.
Kwa maelezo zaidi soma barua hapa chini.
Barua- Uwekezaji wa Nyumba kupitia Hamidu City Park