Timu ya Wataalamu toka Wakala wa Majengo

Ubalozi wa Tanzania ulipokea wageni ikiwa ni Timu ya Wataalamu toka Walaka wa Majengo Tanzania tangu tarehe 29 May 2019 hadi tarehe 8 Juni 2019. Timu hii iliyotumwa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ilikuja kuendelea na mkakati wenye nia ya kujenga na kurekebisha majengo yanayomilikiwa na Serikali ya Tanzania [...]