News

26 09, 2019

No Ebola Outbreak In Tanzania

2019-09-26T01:50:53+02:00September 26th, 2019|Front Page, News|

Tanzanian government has called the head of WHO mission in the country and asked for clarification on claims regarding ebola. The WHO representative in the country Dr. Tigest Ketsela Mengestu, emphasizes that her organization has not made those claims, and that, it does not have any evidence regarding ebola case. Moreover, in case the organization [...]

12 09, 2019

Ujumbe Kutoka Kwa Balozi Mh. DKT Willibrod Slaa

2019-09-12T16:00:24+02:00September 12th, 2019|Diaspora, Embassy, Front Page, News, Watanzania|

Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwasalimia popote mlipo katika nchi zetu za Uwakilishi, Sweden, Denmark, Iceland, Norway, Finland, Estonia, Latvia, Lithuania na Ukraine. Naamini nyote mko salama mkiendelea na majukumu yenu ya kila Siku. Naomba kutumia fursa hii kuwaletea ujumbe huu muhimu sana. Tarehe 10 Septemba, 2019 tuliwataarifu kupitia ukurasa wetu wa fb, Whatsapp [...]

12 09, 2019

UBALOZI Umeanza Rasmi Kupokea Maombi ya Pasipoti Za Kielektroniki

2019-09-12T14:46:43+02:00September 12th, 2019|Diaspora, Embassy, Front Page, News, Watanzania|

Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden unapenda kuwatangazia raia wa Tanzania waishio katika nchi za Nordic, Baltic na Ukraine kuwa mfumo wa maombi ya Pasipoti mpya za kielektoniki umekamilika kufungwa Ubalozini, na tayari ubalozi umeanza rasmi kupokea maombo ya pasi mpya kutoka wa watanzania wanao ishi katika eneo lake la uwakilishi. Tafadhali soma barua rasmi ya [...]

7 09, 2019

Pasipoti Mpya Za Kielektroniki Ubalozini

2019-09-07T13:41:26+02:00September 7th, 2019|Embassy, Front Page, News|

PASIPOTI MPYA ZA KIELETRONIKI Ubalozi wa Tanzania - Stockholm uko katika matayarisho ya kuanza kupokea maombi ya pasipoti mpya kwa Watanzania waishio katika eneo lake la uwakilishi. Mh. Balozi Slaa amekuwa mmoja waliowakilisha maombi katika hatua ya kufanya majaribio ya mtambo. Pia mafunzo kwa wafanyakazi wa Ubalozi yanaendelea kutolewa na watendaji wa Uhamiaji Makao Makuu. [...]

24 07, 2019

Swahili International Tourism Expo-Dar es Salaam Tanzania

2019-07-24T09:38:52+02:00July 24th, 2019|Economic Diplomacy, Front Page, News, Tourism|

The Tanzania Tourist Board is extending this invitation to tour operators and the press in the Nordic and Baltic States to attend the Expo as a Hosted/semi Hosted Buyer.  The Embassy is responsible for short listing participating companies from the Nordic. We will therefore be happy to receive an email showing your interest to participate [...]