News

12 09, 2019

UBALOZI Umeanza Rasmi Kupokea Maombi ya Pasipoti Za Kielektroniki

2019-09-12T14:46:43+01:00September 12th, 2019|Diaspora, Embassy, Front Page, News, Watanzania|

Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden unapenda kuwatangazia raia wa Tanzania waishio katika nchi za Nordic, Baltic na Ukraine kuwa mfumo wa maombi ya Pasipoti mpya za kielektoniki umekamilika kufungwa Ubalozini, na tayari ubalozi umeanza rasmi kupokea maombo ya pasi mpya kutoka wa watanzania wanao ishi katika eneo lake la uwakilishi. Tafadhali soma barua rasmi ya [...]

7 09, 2019

Pasipoti Mpya Za Kielektroniki Ubalozini

2019-09-07T13:41:26+01:00September 7th, 2019|Embassy, Front Page, News|

PASIPOTI MPYA ZA KIELETRONIKI Ubalozi wa Tanzania - Stockholm uko katika matayarisho ya kuanza kupokea maombi ya pasipoti mpya kwa Watanzania waishio katika eneo lake la uwakilishi. Mh. Balozi Slaa amekuwa mmoja waliowakilisha maombi katika hatua ya kufanya majaribio ya mtambo. Pia mafunzo kwa wafanyakazi wa Ubalozi yanaendelea kutolewa na watendaji wa Uhamiaji Makao Makuu. [...]

26 08, 2019

39th Southern African Development Community Summit

2019-08-26T15:59:06+01:00August 26th, 2019|Economic Diplomacy, Embassy, Front Page|

The United Republic of Tanzania was proud to host The 39th Ordinary Summit of the Heads of State and Government of the Southern African Development Community (SADC) which was held at Julius Nyerere International Convention Centre in Dar es Salaam, on the 17th and 18th August 2019. Summit was attended by 16 Heads of State [...]

24 07, 2019

Swahili International Tourism Expo-Dar es Salaam Tanzania

2019-07-24T09:38:52+01:00July 24th, 2019|Economic Diplomacy, Front Page, News, Tourism|

The Tanzania Tourist Board is extending this invitation to tour operators and the press in the Nordic and Baltic States to attend the Expo as a Hosted/semi Hosted Buyer.  The Embassy is responsible for short listing participating companies from the Nordic. We will therefore be happy to receive an email showing your interest to participate [...]

23 07, 2019

Diaspora Chambers at Work

2019-07-29T15:53:23+01:00July 23rd, 2019|Diaspora, Front Page, News|

After the Tanzania Diaspora Investment Conference which was held on 9 -10 April 2019 in Sweden, the established Chambers of Commerce have started work on promoting trade and investment in Tanzania. The Tanzania Diaspora Council - Global (TDC - Global) leaders has been in touch with prospective investors and business people. They have been holding [...]