Watanzania Katika Nyama Choma Ubalozini

Kilimanjaro Club Iliandaa Nyama Choma Ubalozini

Tarehe 14.06.2008 Watanzania waishio Stockholm walikutana na kufurahi pamoja huku wakila nyama choma na kadhalika. Shughuli hii iliyofana iliandaliwa na Kilimanjaro Club, Chama cha Watanzania Stockholm.

Maelezo ya matukio katika mkutaniko huu na picha zaidi, yatawekwa katika ukurasa huu hivi karibuni.

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Last Updated ( Wednesday, 18 June 2008 )