ZIARA - KATIBU MKUU ZANZIBAR

Ubalozi wa Tanzania Sweden utampokea Katibu Mkuu Ofisi ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mh. Salum Maulid Salum, tarehe 15/09/2018. Katika ziara hii atakutana na Wanadiaspora tarehe 16/09/2018. Pia atakutana na kuzungumza na wawekezaji na wafanya biashara katika sekta za uvuvi, usafiri wa majini na utalii.

 

 

  

Last Updated ( Thursday, 13 September 2018 )