VTAMBULISHO VYA TAIFA
VITAMBULISHO VYA TAIFA KWA TANZANIA WAISHIO NJE YA NCHI (DIASPORA)
 
UBALOZI UMEPOKEA TAARIFA TOKA MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA (NIDA) KUHUSU USAJILI WA TANZANIA WAISHIO NJE YA NCHI (DIASPORA).
 
MAMLAKA IMEMTEUA BI. ROSE MDAMI (MOB. NO: +255-713-412871) KUWA AFISA DAWATI ATAKAYESHUGHULIKIA MASUALA YA DIASPORA NDANI YA MALAKA YA NIDA. DAWATI HILI LITATOA HUDUMA KWA HARAKA (FAST TRACK) KWA DIASPORA KATIKA JENGO LA MAGEREZA LILILOPO KATIKA BARABARA YA KIVUKONI MJINI DAR ES SALAAM.
 
KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA BI. MDAMI MOB. NO: +255-713-412871.
 

KWA TAARIFA ZAIDI KUHUSU VITAMBULISHO VYA TAIFA TAFADHALI TEMBELEA NIDA


UBALOZI WA TANZANIA
STOCKHOLM
Last Updated ( Monday, 19 March 2018 )