TAARIFA YA MSIBA


Marehemu Arthur Enos Mwambene 

UBALOZI WA TANZANIA SWEDEN UNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA AFISA UBALOZI

BW. ARTHUR ENOS MWAMBENE ALIYEFARIKI JANA TAREHE 28/01/2018, DAR ES SALAAM.


MAREHEMU ALIONDOKA HAPA SWEDEN TAREHE 28/12/2017 BAADA YA KUFANYA KAZI KATIKA

KITUO HIKI CHA STOCKHOLM KAMA MWAMBATA WA FEDHA KWA MIAKA 13. 


WAFANYAKAZI WA UBALOZI HAPA STOCKHOLM WANAUNGANA NA WAFANYAKAZI WA

WIZARA YA MAMBO YA NJE TANZANIA NA WANADIASPORA WOTE KATIKA ENEO LA UWAKILISHI

LA NCHI ZA NORDIC NA BALTIC KATIKA KUOMBOLEZA MSIBA HUU MKUBWA.

 

BWANA AMETOA NA AMETWAA, JILA LAKE LIHIMIDIWE

INNA LILLAH WAINNA ILLAH RAJIUN.

 

MATIKU KIMENYA

KAIMU BALOZI, UBALOZI WA TANZANIA, SEDWEN

29/01/2018


Last Updated ( Monday, 29 January 2018 )