DIASPORA-Kuingiza na Kutoa Mizigo
 HUDUMA ZA UINGIZAJI NA UTOAJI WA MIZIGO YA DIASPORA NCHINI

Ubalozi wa Tanzania, Sweden umepokea barua kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ambayo ni maelezo ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yanayorahisisha utaratibu wa kuingiza na kutoa mizigo ya Watanzania waishio Ughaibuni (DIASPORA).

Maelezo kamili kuhusu utaratibu huo kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ambayo yanawasilishwa kwenu yapo hapa.

TAFADHALI SAMBAZA TAARIFA HII KWA WANA DIASPORA.

“Pamoja Tunajenga Taifa Letu”


 UBALOZI WA TANZANIA, SWEDEN
Last Updated ( Monday, 15 January 2018 )