Tanzanians - Passports

PASI MPYA / NEW PASSPORTS

Kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika, maafisa wa Ubalozi hawataweza kuwafuata waombaji katika nchi zote za Nordic na Baltic. Wote mnashauriwa kufika Ubalozini Stockholm Sweden kuwasilisha maombi yenu. Tunasikitika kwa usumbufu utakaowapata.

NB: Kuepuka usumbufu tafadhali fanya miadi (appointment) na Ubalozi kabla ya kuja.

Hakikisha unapiga picha ambazo nyuma yake zinaonyesha rangi ya maji bahari (skyblue background). Huduma ya picha iko katika studio 2 karibu na Ubalozi kwa gharama ya SEK 300, lakini ni bora kupata picha toka ulipo kabla hujafika Stockholm

 

Alhassani Express

Photo to Pass and ID 

Valhallavägen 84

114 27 Stockholm

Tel: 086122357 

Iko karibu na Tekniska Högskolan 

na 

Ian Johnson Foto
Djursholmsvägen 33,
183 52 Täby, Sweden ‎ 
+46 8 630 08 66   ‎ 
www.ianjohnsonphoto.se 

Iko karibu na Ofisi ya Ubalozi

1. Pasipoti za sasa ni kwa matumizi ya mtu mmoja tu, watoto wanatakiwa kuwa na pasipoti na watafuata taratibu zote zinazohitajika za utoaji wa pasipoti mpya.
 
 Utaratibu wa kutoa pasipoti mpya utakuwa kama ifuatavyo;

 (A)   Maombi:

 • Mwombaji anatakiwa awasiliane na Ubalozi ili aweke miadi (appointment) ya kufanya maombi 
 • Mwombaji atapewa fomu za kuombea pasipoti (CT 5AI) siku ya kuomba
 • Fomu itajazwa mbele ya afisa wa ubalozi. 
 • Maombi yote yatajazwa kwa HERUFI KUBWA
 • Mwombaji atachukuliwa alama za vidole na ofisi ya Ubalozi husika na kuweka saini yake katika fomu mbele ya Afisa anayeshughulikia pasipoti, kwa kutumia kalama maalum.
 
(B)  Viambatanisho

 • Mwombaji atahitajika kuleta picha tano ( 5) 'passport size' (zenye urefu wa 4.5cm na upana 4cm) ambazo nyuma yake zinaonyesha rangi ya maji bahari (skyblue background).
 • Pasipoti yake ya Tanzania pamoja na nakala ya kurasa tano za mwanzo na kurasa ya mwisho.
 •  Kwa mwombaji wa mara ya kwanza, cheti halisi cha kuzaliwa kiambatanishwe.
 •  Ada ya pasipoti ni SEK 500.00 jumla ya malipo ni SEK. 600. Mwombaji anatakiwa kulipa moja kwa moja katika akaunti ya Ubalozi na kuambatanisha risiti katika maombi. (Ubalozi haupokea fedha taslim)
 
Akaunti namba ni (Plus Giro Nr.) 103 7471-8 (kwa walipaji Sweden). walipaji nje ya Sweden watumie Bank Identification Code (BIC/Swift) Address: NDEASESS and International Bank Account Number (IBAN): SE2895000099604210374718 (bila kuacha nafasi).

(C)   Utoaji Pasi  na safari dharura

 • Maombi yatatumwa Makao Makuu ya Uhamiaji Dar es Salaam. Pasipoti zitakapokuwa tayari waombaji wataarifiwa ili waje kuzichukua ubalozini.
 • Endapo unahitaji kusafiri kabla pasi mpya haijaletwa Ubalozini unaweza kutoa Pasi ya Dharura (PATA FOMU ZA MAOMBI PASI YA DHARURAau pasi ya zamani yaweza kutumika kama mwombaji ameomba mpya kwa kuwa ya zamani inakaribia kumalizika muda wake. Lakini ikumbukwe kwamba matumizi ya pasipoti ya zamani ikiwa muda wa kumalizika ni chini ya miezi sita itakubaliwa kutumika kwa safari ya kwenda Tanzania tu.
 • Wakati wa kuchukua pasi mpya pasi ya zamani itawekwa alama ya kufutwa uhalali wake.

 Atakayepata ujumbe huu amwambie na mwenzie!!!!!!!!!

KARIBUNI !

Jacob Msekwa

KNY BALOZI

 Back To The Top
-------------------------------------------------------------------------------------------------

 

 PASI ZA KUSAFIRI ZA DHARURA/EMERGENCY TRAVEL DOCUMENTS (ETD)
 
Tanzanians who are travelling on emergency reasons can be provided with an emergency travel document. The emergency travel document (ETD) can enable them to travel only to Tanzania. Reasons for requesting an ETD can be:

 • Loss of passport ( Waliopoteza waambatanishe ripoti ya polisi)

 • Repatriation ( Wanaorudishwa nyumbani)

 • New passport will be processed while in Tanzania (Ambao wanataka kufanya maombi ya pasipoti  mpya wakiwa Tanzania).


Payment for an ETD is SEK 290.00* including postage (attach receipt of payment). Download ETD FORMS HERE

Other requirements are, 2 passport sized photos, evidence that the applicant is a Tanzanian, and a police report for lost passport.

NOTE: Passport application forms and emergency travel documents (which is the same) cannot be made available online. Forms for emergency travel document can be sent to applicant by post and when Travel document is processed can also be posted to applicant. In this case the applicant does not need to come to Stockholm. However applicants for new passports have to come in person to have their fingerprints taken. Read more information on application for New - Machine-readable Tanzanian Passports  here

Wanaotaka pasi za dharura sio lazima waje Stockholm. Wanaweza kuomba na kutumiwa fomu na kurudisha Ubalozini. Ubalozi utatayarisha pasi ya dharura na kutuma kwa posta. PATA FOMU ZA MAOMBI PASI YA DHARURA


Maombi ya pasi za dharura yanatolewa sasa hata kwa wale ambao wameleta maombi ya pasi mpya na hawajazipokea ikiwa wanataka kwenda Tanzania tu.

 Back To The Top
-------------------------------------------------------------------------------------------------
 
WATOTO KATIKA PASI (CHILD ENDORSEMENT)

Watoto wanatakiwa waombewe pasi zao. Majina ya watoto hayawekwei tena katika pasi ya mzazi.

Tanzanians can no longer endorse their children in the passports. Every Tanzanian citizen is required to have her/his own passport. When making passport applications for the first time, you need to have an original birth certificate and produce a copy for certification,  five passport photos and must know the birth dates of your parents. 

 Back To The Top
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
 PASI ILIYOPOTEA (LOST PASSPORT)

A police report for the lost passport is required. If passport is lost application for another passport has to be made following the same process above. The applicant is required to come in person to the Embassy fill in a passport application form. The following should be attached;  5 passport sized photos, a police report, lost passport number and DN number for old passports, a receipt of payment for passport fee SEK 1000.00. After submission to the Embassy, the application is sent to the Immigration Office in Tanzania.

  Back To The Top
-------------------------------------------------------------------------------------------------
 
 KUBADILIKA JINA (CHANGE OF NAME)

 

Those wishing to change name for any reason e.g. marriage and therefore need a new passport bearing the new name, the following is require; Come in person to the Embassy to fill in new passport application form, bring current passport, supporting document on change of name ( from lawyer, marriage certificate etc.), 5 passport size photos with blue background and a receipt of payment for passport fee SEK. 600.00. The application will be submitted to the Immigration office in Tanzania.

  Back To The Top
-------------------------------------------------------------------------------------------------

 MALIPO (FEES)

 No. Type of Fee
 Amout of Fee in SEK
Postage  in SEK
 1. New passport

   600.00

        -
 2. Lost Passport (once)

 1100.00

         -
 3. Lost Passport (twice)

 1800.00

 
 4. Emergency Travel Document (ETD)

   200.00

        90.00
5. Renunciation of Tanzanian Citizenship

 1000 .00

        90.00
6. Endorsement and Legalisation of Documents

   200.00  per document

        90.00

 All fees are subject to change at any time.

Please make all payments (fees and postage) as indicated above  to:-

Näsby Allé 6, 183 55 Täby;
Tel: +46 8 732 24 30/1,
Fax: 46 8 732 24 32;
E mail: This e-mail address is being protected from spam bots, you need JavaScript enabled to view it


Our Plusgirot Bank (Publ) Account Number 103 7471-8 (for paying customers within Sweden).

When payments are made outside Sweden, applicants can use the following: 

 • Bank Identification Code (BIC/Swift) Address: NDEASESS and
 • International Bank Account Number (IBAN): SE2895000099604210374718 (no space).

Payment is always in advance - credited to our Postgirot Bank and receipt of payment must be attached. Cheques are not acceptable.

Please ensure to send all attachments required in your application and a receipt or proof of payment of fee and postage (if not submitted personally).

 Back To The Top
---------------------------------------------------------------------------------------------------------------
 
 PASI ZILIZOKAWIA

 

Ubalozi wa Tanzania Stockholm kwa kushirikiana na Idara ya Uhamiaji Dar es Salaam Tanzania wapo kwenye zoezi la kuhakikisha kuwa Watanzania wanaoishi katika nchi za Nordic na Baltic ambao walituma maombi ya pasi mpya za kusafiria na bado hawajazipokea mpaka sasa wanapatiwa pasi hizo mapema iwezekanavyo.

Pasi nyingi zinazokawia kutolewa ni kwa sababu maombi yanaupungufu. Tafadhali tunaomba mzingatie masharti na viambatanisho vinavyotakiwa. Waombaji wanaohitaji kuambatanisha vyeti vya kuzaliwa, ndoa, barua ya polisi, kubadili jina n.k tunawaomba walete tafsiri zake kwa kiingereza. Wale wanaoahidi kutuma baada ya kuambiwa upungufu tunawaomba watekeleze haraka la sivyo maombi yao yanawekwa pembeni.

Ikiwa viambatanisho vyote vimekamilika na pasi bado imekawia msisite kutupigia Ubalozini Na. +46 8 7322430/31au kutuma barua pepe mkitumia anuani This e-mail address is being protected from spam bots, you need JavaScript enabled to view it . Katika taarifa hii tafadhali hakikisha unaleta:

 • Jina lako kamili,
 • Eneo unaloishi/Anuani, na
 • Tarehe uliyoleta maombi yako.

Ukipata taarifa hii tafadhali mweleze na mwingine!!!!!!!!!!

 Back To The Top
---------------------------------------------------------------------------------------------------------------
 
 PASI MPYA ZILIZOWASILI UBALOZINI

 

Ubalozi wa Tanzania hapa Stockholm bado unapokea maombi ya pasipoti mpya.

Pasipoti zinapoletwa Ubalozini toka Uhamiaji tunazitangaza hapa. Tafadhali fanyeni utaratibu uliolezwa hapo chini ili pasipoti zitumwe kwa wanaohusuka. Utaratibu wa kuchukua ni kama ufuatavyo;

 • Kwa watanzania walioko Stockholm wanakaribishwa kuchukua wao wenyewe hapa Ubalozini.
 • Kwa wale walioko nje ya Stockholm waandike barua hapa ubalozini (pepe au kawaida) inayoonyesha namba za simu na anuani kamili pia ikiruhusu Ubalozi umtumie pasi hiyo. Kwa vile pasipoti ni muhimu ni vyema anuani ya muhusika anayotumia hivi sasa iandikwe kwa ufasaha ili kuzuia upotevu.
 • Wale ambao hawataona majina yao tunawaomba wawe na subira


PASI ZA DHARURA

 • Kwa kuwa muda wa pasipoti za zamani umekwisha, pasi ya dharura yaweza kutolewa lakini ikiwa tu safari ni ya kurudi Tanzania.
 • Kama itashindikana kuzipata pasipoti mpya na muda wa kurudi umefika, basi waombe hati ya dharura za kurudia toka hapo hapo Uhamiaji.
 • PATA FOMU ZA MAOMBI PASI YA DHARURA HAPA

PASI ZA ZAMANI

 • Pasi za zamani hazitumiki tena wala muda wake hauongezwi.

 Atakayepata taarifa hii amweleze na mwingine!!!!!!!!!!!.

MAJINA YA WENYE PASI MPYA ZILIZOPOKELEWA TOKA UHAMIAJI. 

Majina yafuatayo ni kwa waombaji wa pasipoti mpya yaliyopokelewa hapo nyuma na kutumwa Uhamiaji Tanzania. Pasipoti mpya zimetolewa na kutumwa Ubalozini katika tarehe tajwa. Wahusika wanaombwa watume anuani zao za sasa kwa barua pepe ( This e-mail address is being protected from spam bots, you need JavaScript enabled to view it ili tuweze kuwatumia kwa register.

Kwa walio karibu na Stockholm wanakaribishwa kufika na kuchukua pasi zao. 

 

  PASIPOTI ZILIZOOKOTWA

NA.

JINA

1.

TELIAN TANGIDI KALUNJU


2.

ABDALLAH SALEH OMAR

 

PASIPOTI ZILIZOPOKELEWA UBALOZINI TAREHE 06/02/2017  

NA.

JINA

1.

FATUMA MTUMWENI AME

2.

NASRA ADAM ABALA

PASIPOTI ZILIZOPOKELEWA UBALOZINI TAREHE 02/02/2017

NA.

JINA

1.

MARGARETH SARAMAKI STEPHEN

2.

GILLIAN SIMON BERGERSON

3.

YUSUF MOHAMED NOOR

4.

FELICIAN CONSTANTINE TEGEREZA MATUNGWA

5.

MBARUKU RICHARD MLEKE

6.

DORICE GOMEL MAZENGO

7.

AIDAN MOHAMED MBONDE

8.

MIRIAM RICHARD SADALLAH MAGUMBA

9.

LUCY KOMBA JENSEN

10.

IBRAHIM KHAMIS MWINSHEHE

11.

ARAFA MASOUD KHAMIS

 PASIPOTI ZILIZOPOKELEWA UBALOZINI TAREHE 31/01/2017

NA

JINA

1.

FRICH ALBERT CURRUSA  

2.

RAJABU HAMISI MOHAMED  

3.

ANITA ISAYA KASERA  

4.

COLLINS ELIATOSHA KISAMO  

5.

HEMED ISSA MAEDA 

6.

NASRA NASIR SALEH 

7.

RAHIM LADHA SALEH  

8.

GABRIEL - ETHAN EDSON OSIMA  

9.

MARY MWAKALUKWA SANDERSON  

10.

ELIAMANI EXAUDI FOYA  

11.

EDWARD MASHIKU NTEMI  

12.

H ELEN THOMAS LAIZER  

13.

JONAS NGEMERA MUTEGEKI     

14.

KUDRA AHMAD OMARI  

15.

SHERINA SIMON RENDINI  

16.

DAVID ELIAS MARIKI     

17.

EDSON ERNEST OSIMA     

18.

ROSE ERICK MAKUNDI 

19.

JULIETH OBEID ONDARA  

 PASIPOTI ZILIZOPOKELEWA UBALOZINI TAREHE 23/11/2016

NA.

JINA        

 

 

01

LINDA WISIKU NYAMAGENI

02

MIRIAM MICHAEL KIMAMBO

 

 

 

 

 PASIPOTI ZILIZOPOKELEWA UBALOZINI TAREHE 07/10/2016

NA.

JINA        

 

 

01

DAVID JARED NDIEGE        

02

EVANGELISTA FREDINANDI PIUS        

03

YUNIS AHMED NASSER        

04

FARHANA SULTANA REHMAN        

05

DR. RUTH SAMWEL SHOO        

06

YASINTA NGONYANI    

07

NEEMA MPONDA MBILA       

08

JAMES FROLENSI KOMBA        

09

KUDRA NGULUNGWA NGULUNGWA        

10

TATYANA PAURLUS MSUYA NYAKUWA     

11

RUTH MICHELE MASHIKA LUGORA        

12

EMMANUEL EDMUND PIUS        

13

CHRISTIAN PAUL GOSHASHY        

14

ALPHONCE JOHN BALUWA        

15

HAMADI ABUBAKAR AHMED        

16

VIVIAN NICHOLUS MATHIAS MLEKWA        

17

KULWA SELE MAN MSHIGWA        

18

ALL Y ABDALLAH OMARI          

19

ABDUL RAMADHANI NANJI        

20

CAMILLA LATIFA SHUYRY        

21

REHEMA SHABANI MWIPALO

 Tafadhali tutumieni anuani zenu za sasa kwa maandishi katika anuani yetu;  This e-mail address is being protected from spam bots, you need JavaScript enabled to view it   ili Ubalozi uweze kutuma kwenu.

Ubalozi wa Tanzania
Sweden

   Back To The Top----

 

Last Updated ( Wednesday, 15 March 2017 )