MKUTANO MKUU NA KUCHAGUA VIONGOZI

 

 TANGAZO LA MKUTANO MKUU WA MWAKA CHAMA CHA WATANZANIA SWEDEN!

Mkutano huu wa mwaka utakuwa pia kwa ajili ya kuchagua viongozi watakaoendesha Jumuiya ya Watanzania (TANRIK) baada ya muda wa viongozi wa sasa kuisha.
Nafasi zainazotakiwa kujazwa ni kama ifuatavyo; 

 


1. Mwenyekiti Nafasi (1)
2. Makamu Mwenyekiti Nafasi (1)
3. Katibu Nafasi (1)
4. Mweka mahesabu Nafasi (1)
5. Wanakamati Nafasi (3)
6. Wanakamati ziada Nafasi (2)
7. Mhasibu Nafasi (1)

 

 

 

TAREHE: Mkutano utafanyika Jumamosi, 8 Aprili 2017   
SAA:  TISA MCHANA
SEHEMU: UBALOZINI, NÄSBY ALLE 6 TÄBY,
 
WOTE MNAKARIBISHWA!
 
TAFADHALI UPATAPO TAARIFA HII MTAARIFU MWENZIO!
 
Kwa taarifa zaid tafadhali piga: 0729165552 (Norman); 0706508823 (Seynab)

 

 

Last Updated ( Monday, 27 March 2017 )