TANZANIA DIASPORA SURVEY
Idara ya Diaspora, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Tanzania umeanza zoezi la ukusanyaji wa kanzi (data base) za Diaspora. Wanadiaspora wa Tanzania waishio katika nchi za Nordic wanaombwa kushiriki zoezi hili kwa;

Kuingia katika tovuli hapa https://surveymonkey.com/r/PGGDHGF  na kujaza fomu moja kwa moja.


Kwa maswali zaidi tafadhali wasiliana na Ubalozi wa Tanzania, Stockholm kwa simu +46 8 7322430/31 au barua pepe This e-mail address is being protected from spam bots, you need JavaScript enabled to view it


UBALOZI WA TANZANIA
STOCKHOLM, SWEDEN
Last Updated ( Monday, 20 April 2015 )