News Flash

On his last day in Tanzania, President Clinton became one of 360, 000 visitors annually to explore the World Famous Ngorongoro Crater. Often called "Africa’s Eden" and the "8th Natural Wonder of the World," this collapsed volcano (a “caldera”) is located in the Ngorongoro Conservation Area . This is a natural sanctuary for thousands of birds, insects and animals such as lions, zebra, black rhino and wildebeest, all free to wander.
 
Home arrow Diaspora arrow SHEREHE KUCHANGIA FC KILIMANJARO
SHEREHE KUCHANGIA FC KILIMANJARO Print E-mail
 
FC KILIMANJARO ya Stockholm, Sweden  ikishirikiana na Chama cha Watanzania, Sweden (TANRIKS) inapenda kuwakaribisha katika sherehe ya kuchangia timu yetu ya FC Kilimanjaro itakayofanyika siku ya Jumamosi tarehe 27 Februari, 2016 katika ukumbi wa Begashamraskolan, HJORTSTIGEN 1. Kuanzia saa 1:00 jioni hadi 11 alfajiri..(from 1900 till 05.00am).

HAKUNA KIINGILIO(FREE ENTRANCE) 
VINYWAJI NA CHAKULA VITAUZWA kwa bei NAFUU.

OBS! Imani na Itikadi kuzingatiwa...Come and enjoy good music from East Africa from our best Djs..
COME ONE COME ALL!!.

Ukipata ujumbe huu sambaza kwa wengine.

Ahsante
Kamati ya Maandalizi

Last Updated ( Tuesday, 09 February 2016 )
 
< Prev   Next >
© 2019 Embassy of The United Republic of Tanzania - Stockholm, Sweden

Comments for Webmaster
.