News Flash

As you probably realize, staying on Zanzibar (or any of Tanzania's islands) is generally a lot cheaper than being on safari. Don't forget to look at the options on Mafia Island also if any of your party are serious divers or snorkellers; Mafia doesn't have the same quality of beaches … but it's a lot quieter than Zanzibar, and can have a much more exclusive feel for a similar cost.
 
Home arrow Tanzanians arrow Announcements arrow TANGAZO LA KAZI AGA KHAN HOSPITAL
TANGAZO LA KAZI AGA KHAN HOSPITAL Print E-mail

TANGAZO


NAFASI ZA AJIRA KWA DIASPORA KATIKA HOSPITALI YA AGA KHAN,  DAR ES SALAAM

Ubalozi unapenda kuwatangazia kuwa Hospitali ya Aga Khan ina mahitaji ya haraka sana ya wataalamu wa Afya kuziba nafasi mbalimbali za kitabibu zilizowazi katika Hospitali hiyo. Hospitali  hiyo imetoa kipaumbele kwa Watanzania wanaoishi nje ya nchi (Diaspora) kujaza nafasi hizo.
 
Kwa msingi wa maelezo ya hapo juu Ubalozi unawasihi Watanzania wote wenye ujuzi katika nchi za Nordic na Baltics  mfikishiane taarifa hizi haraka na mchangamkie  fursa hizo za ajira.
 
Maombi ya kazi yanatakiwa kutumwa kabla ya tarehe 8 Februari 2016 kupitia barua pepe ifuatayo; ( This e-mail address is being protected from spam bots, you need JavaScript enabled to view it ) nakala itumwe ( This e-mail address is being protected from spam bots, you need JavaScript enabled to view it ).
 
Tangazo la kazi husika limeambatanishwa hapa  kwa hatua zenu stahiki.
Last Updated ( Wednesday, 27 January 2016 )
 
< Prev   Next >
© 2019 Embassy of The United Republic of Tanzania - Stockholm, Sweden

Comments for Webmaster
.