News Flash

As you probably realize, staying on Zanzibar (or any of Tanzania's islands) is generally a lot cheaper than being on safari. Don't forget to look at the options on Mafia Island also if any of your party are serious divers or snorkellers; Mafia doesn't have the same quality of beaches … but it's a lot quieter than Zanzibar, and can have a much more exclusive feel for a similar cost.
 
Home arrow News and Events arrow KONGAMANO LA DIASPORA
KONGAMANO LA DIASPORA Print E-mail
Serena Hotel, Dar es Salaam, Tanzania 13 -15 August 2015

Kwa Jumuia za Diaspora ya Watanzania
 
Ubalozi umepokea barua kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Tanzania inayotoa taarifa ya nyongeza kwa watakaoshiriki. 

Kila mshiriki anatakiwa kulipia ada ya USD 100 na kujisajili kupitia tovuli ifuatayo; (www.tzdiaspora.com). Baada ya kujisajili mnatakiwa kutuma uthibitisho wa kushiriki kwenda email: This e-mail address is being protected from spam bots, you need JavaScript enabled to view it

Kwa taarifa zaidi na ratiba ya kongamano tafadhali tembelea tovuli www.tzdiaspora.
 

 
Ubalozi wa Tanzania
Stockholm 
Last Updated ( Thursday, 23 July 2015 )
 
< Prev   Next >
© 2019 Embassy of The United Republic of Tanzania - Stockholm, Sweden

Comments for Webmaster
.