News Flash

As you probably realize, staying on Zanzibar (or any of Tanzania's islands) is generally a lot cheaper than being on safari. Don't forget to look at the options on Mafia Island also if any of your party are serious divers or snorkellers; Mafia doesn't have the same quality of beaches … but it's a lot quieter than Zanzibar, and can have a much more exclusive feel for a similar cost.
 
Home arrow Diaspora arrow RAIS KIKWETE AKUTANA NA WANA DIASPORA SWEDEN
RAIS KIKWETE AKUTANA NA WANA DIASPORA SWEDEN Print E-mail

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete alitembelea Sweden tarehe 3 -5 June 2015.

Picha hapa chini ni wakati Mh. Rais alipokutana na Watanzania waishio Stockholm

  

Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete na wahudhuriaji wakiimba wimbo wa taifa baada ya kuwasili ukumbi wa mkutano

Balozi Dora Msechu, Balozi wa Tanzania nchi za Nordic akimkaribisha Mh Rais Kikwete kusalimiana na Watanzania 

 

Bw. Zam Khalifa, Mjumbe wa Bodi ya Viongozi Jumuia ya Watanzania Sweden akisoma risala kwa Mheshimiwa Rais

HOTUBA YA MH RAIS KIKWETE KWA VIONGOZI WA DIASPORA - SWEDEN

  

  KIKWETE Stockholm 2015 by TZKWimbo wa Kumkaribisha Mh. Rais Kikwete Stockholm 

  

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bw. Tengo Kilumanga Mwenyekiti wa Chama cha Watanzania, Sweden  (TANRIK-SWE)

  

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi na maelezo ya mchoro kutoka kwa Msanii wa Kimataifa wa Kitanzania aishiye Sweden Bw. Charles Njau

  

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimian na akimpongeza Mpishi maarufu Sweden Issa Kapande kwa medali alizopata na kwa kufungua mgahawa mkubwa (watu 400) mjini Trolhattan, nje kidogo ya jiji la Stockholm

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mwandishi wa vitabu vya Kiswahili na Prof. Abdulaziz Lodhi  (Mstaafu, Chuo Kikuu Cha Uppsala, Sweden).

 

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Watanzania waishio Sweden alipokutana nao jijini Stockholm

  

 

  

 

 

Last Updated ( Thursday, 02 July 2015 )
 
< Prev   Next >
© 2019 Embassy of The United Republic of Tanzania - Stockholm, Sweden

Comments for Webmaster
.