News Flash

As you probably realize, staying on Zanzibar (or any of Tanzania's islands) is generally a lot cheaper than being on safari. Don't forget to look at the options on Mafia Island also if any of your party are serious divers or snorkellers; Mafia doesn't have the same quality of beaches … but it's a lot quieter than Zanzibar, and can have a much more exclusive feel for a similar cost.
 
Home arrow Diaspora arrow MAJADILIANO - URAIA PACHA
MAJADILIANO - URAIA PACHA Print E-mail

Majadiliano ya Suala la Uraia Pacha Katika Bunge la Katiba


Ubalozi wa Tanzania Sweden umepokea barua toka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Tanzania,  kuhusu majadiliano yanayoendelea juu ya suala la Raia Pacha.
 
Wizara inashauri wanadiaspora kufuatilia na kufahamu kuhusu mchakato wa majadiliano na matarajio ya baadaye.

Katika majadiliano haya katika Bunge Maalum la Katiba lililomaliza vikao vyake Dodoma Octoba 2014, Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alimteua Bw. Kadari Singo kuwa Mwalikilishi wa Diaspora.

Bw Singo alitoa taarifa yake wakati wa Kongamano la Diaspora wa DICOTA 2014 lililofanyika North Carolina, Marekani. Bw Singo alieleza mchakato mzima wa majadiliano ya Uraia Pacha yaliyofanyika Bungeni. Kwa kufahamu zaidi tafadhali tembeleeni link ifuatayo: 
 
 
Ukipata taarifa hii tafadhali mtumie na mwenzio.
 
 
UBALOZI WA TANZANIA
SWEDEN 
Last Updated ( Monday, 23 February 2015 )
 
< Prev   Next >
© 2019 Embassy of The United Republic of Tanzania - Stockholm, Sweden

Comments for Webmaster
.