News Flash

As you probably realize, staying on Zanzibar (or any of Tanzania's islands) is generally a lot cheaper than being on safari. Don't forget to look at the options on Mafia Island also if any of your party are serious divers or snorkellers; Mafia doesn't have the same quality of beaches … but it's a lot quieter than Zanzibar, and can have a much more exclusive feel for a similar cost.
 
Home arrow Tanzanians arrow Announcements arrow SIKU YA WATANZANIA SWEDEN
SIKU YA WATANZANIA SWEDEN Print E-mail

Sherehe ya Watanzania waishio Sweden iliyoambatana na 
kumkaribisha Balozi Dora Mmari Msechu katika Picha.

  

  

    

  

  

   

    

   

Balozi Dora Msechu (wa pili kutoka kulia) akifurahia jambo wakati akisomewa risala. Kulia kwake ni Bw. Tengo Kilumanga, Mwenyekiti wa Chama cha Watanzania Sweden. Sherehe ilihudhuriwa na wageni toka Jumuia zingine za watanzania, Ulaya. Kulia kabisa ni Bi Mariam Kilumanga, Mwenyekiti wa Diaspora ya Watanzania, Uingereza; Kushoto ni Bi. Agnes Grace Kinama aliyemwakilisha Bi. Delly Nyerere, mwenyekiti wa Diaspora, Ufaransa.  

Diaspora na wageni wakisikiliza na kufuatilia mkutano wa ukaribisho 

  

   

Wana Diaspora wakijitambulisha na kusalimiana na Balozi

  

Mshereheshaji wa siku hiyo muhimu, Bw. Norman akisalimiana na Balozi 

  

Last Updated ( Monday, 13 October 2014 )
 
< Prev   Next >
© 2019 Embassy of The United Republic of Tanzania - Stockholm, Sweden

Comments for Webmaster
.