News Flash

As you probably realize, staying on Zanzibar (or any of Tanzania's islands) is generally a lot cheaper than being on safari. Don't forget to look at the options on Mafia Island also if any of your party are serious divers or snorkellers; Mafia doesn't have the same quality of beaches … but it's a lot quieter than Zanzibar, and can have a much more exclusive feel for a similar cost.
 
Home arrow Tanzanians arrow Announcements arrow MKUTANO KUMKARIBISHA BALOZI
MKUTANO KUMKARIBISHA BALOZI Print E-mail
 
 
 
 
 
TANZANIA DAY - STOCKHOLM, SWEDEN

27 SEPTEMBA 2014

 

MKUTANO WA WATANZANIA SWEDEN WA

 

KUMKARIBISHA

 

BALOZI MPYA WA TANZANIA

 

 

UBALOZI WA TANZANIA  UNAPENDA KUWAARIFU KWAMBA

BALOZI MPYA WA TANZANIA, MHE. DORA MSECHU AMEWASILI RASMI SWEDEN.

 

 

TAREHE 27 SEPTEMBA 2014 KUTAKUWA NA MKUTANO MAALUMU WA KUMKARIBISHA

MHE. BALOZI MSECHU. 

 

MKUTANO HUU UTAFUATIWA NA BURDANI YA SIKU YA WATANZANIA ("TANZANIA DAY") ILIYOANDALIWA NA JUMUIYA YA WATANZANIA SWEDEN (TANZANISKA RIKSFÖRBUNDET)

 

 

SHUGHULI ITAFANYIKA KATIKA

UKUMBI WA SHULE  YA BERGSHAMRA, HJORTSTIGEN 1, BERGSHAMRA, SOLNA

KUANZIA SAA KUMI ALASIRI (1600HRS)

 

MKUTANO RASMI WA KUMKARIBISHA BALOZI UTAANZA NA KUFUATIWA NA BURDANI YA CHAKULA, VINYWAJI NA MUZIKI.

 

WATANZANIA MLIOPO SWEDEN MNAOMBWA MJITOKEZE KWA WINGI KWENYE SHUGHULI HII YA KUWA PAMOJA NA KUMKARIBISHA BALOZI WETU MPYA.

 

  Waandaaji wangeshukuru kama utajiandikisha hapa ili wajue idadi ya wageni.

 

KARIBUNI SANA!!!!!!!!

 

Last Updated ( Wednesday, 17 September 2014 )
 
< Prev   Next >
© 2019 Embassy of The United Republic of Tanzania - Stockholm, Sweden

Comments for Webmaster
.