KUCHAGUA VIONGOZI - CHAMA CHA WATANZANIA |
|
|
KWA WATANZANIA WOTE!
CHAMA CHA WATANZANIA SWEDEN KINAWAKARIBISHA KATIKA MKUTANO MKUU WA MWAKA NA KUCHAGUA VIONGOZI. MKUTANO HUU NI MUHIMU SANA KWA KILA MTANZANIA KWANI KUFIKA KWAKO NDIO MAFANIKIO YA CHAMA HIKI! SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 5/4 SAA: NANE MCHANA MAHALI: UBALOZINI, NÄSBY ALLÉ 6, Baada ya mkutano kutakuwepo na maonyesho ya picha tangu kuanzishwa kwa chama na kadhalika!!! UPATAPO MWALIKO HUU MTUMIE NA MWENZIO.
TUJARIBU KUFIKA KWA WAKATI!! KARIBUNI!
KAMATI YA MAANDALIZI MKUTANO MKUU. CHAMA CHA WATANZANIA SWEDEN
|
Last Updated ( Wednesday, 02 April 2014 )
|