News Flash

On his last day in Tanzania, President Clinton became one of 360, 000 visitors annually to explore the World Famous Ngorongoro Crater. Often called "Africa’s Eden" and the "8th Natural Wonder of the World," this collapsed volcano (a “caldera”) is located in the Ngorongoro Conservation Area . This is a natural sanctuary for thousands of birds, insects and animals such as lions, zebra, black rhino and wildebeest, all free to wander.
 
Home arrow Tanzanians arrow Announcements arrow KUCHAGUA VIONGOZI - CHAMA CHA WATANZANIA
KUCHAGUA VIONGOZI - CHAMA CHA WATANZANIA Print E-mail
KWA WATANZANIA WOTE! 

CHAMA CHA WATANZANIA SWEDEN KINAWAKARIBISHA KATIKA MKUTANO MKUU WA MWAKA NA KUCHAGUA VIONGOZI. MKUTANO HUU NI MUHIMU SANA KWA KILA MTANZANIA KWANI KUFIKA KWAKO NDIO MAFANIKIO YA CHAMA HIKI! 
 
SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 5/4 
SAA: NANE MCHANA 
MAHALI: UBALOZINI, NÄSBY ALLÉ 6, 
 
Baada ya mkutano kutakuwepo na maonyesho ya picha tangu kuanzishwa kwa chama na 
kadhalika!!! 
 
UPATAPO MWALIKO HUU MTUMIE NA MWENZIO. 

TUJARIBU KUFIKA KWA WAKATI!! 
 
 
KARIBUNI!KAMATI YA MAANDALIZI MKUTANO MKUU.
CHAMA CHA WATANZANIA SWEDEN
Last Updated ( Wednesday, 02 April 2014 )
 
< Prev   Next >
© 2019 Embassy of The United Republic of Tanzania - Stockholm, Sweden

Comments for Webmaster
.