News Flash

On his last day in Tanzania, President Clinton became one of 360, 000 visitors annually to explore the World Famous Ngorongoro Crater. Often called "Africa’s Eden" and the "8th Natural Wonder of the World," this collapsed volcano (a “caldera”) is located in the Ngorongoro Conservation Area . This is a natural sanctuary for thousands of birds, insects and animals such as lions, zebra, black rhino and wildebeest, all free to wander.
 
Home arrow Diaspora arrow TANGAZO - MAZISHI YA HUSSEIN
TANGAZO - MAZISHI YA HUSSEIN Print E-mail

MAZISHI YA MAREHEMU HUSSEIN SAID HUSSEIN 6/03/2014

Ubalozi umepata taarifa leo asubuhi toka kwa Bi Victoria Hussein, mjane wa Mtanzania mwenzetu Marehemu Hussein Said Hussein kwamba mazishi yatakuwa kesho Alhamisi 6/03/2014 saa 5.30 (tano na nusu) asubuhi. 

Swala ya mazishi itaongozwa na Sheik Imam Zakir Hussein na itafanyika Husby Ärlinghundra Kyrkogård, Husby Kyrkby 131, 195 91 Märsta, Kitengo cha Waislam.

Baada ya mazishi wote wanakaribishwa kuungana na familia kwa chakula cha mchana katika Mgahawa wa Arlandastad uliopo Pionjärvägen 2, Arlandastad.

Kwa maelezo zaidi tafadhali piga simu Na. 0705263303 kwa Bw. Tengo Kilumanga

 

Atakayepata taarifa hii amwarifu na mwingine.

 

Ubalozi wa Tanzania

Stockholm

 

 

Last Updated ( Wednesday, 05 March 2014 )
 
< Prev   Next >
© 2019 Embassy of The United Republic of Tanzania - Stockholm, Sweden

Comments for Webmaster
.