News Flash

As you probably realize, staying on Zanzibar (or any of Tanzania's islands) is generally a lot cheaper than being on safari. Don't forget to look at the options on Mafia Island also if any of your party are serious divers or snorkellers; Mafia doesn't have the same quality of beaches … but it's a lot quieter than Zanzibar, and can have a much more exclusive feel for a similar cost.
 
Home arrow Diaspora arrow ADA YA VISA
ADA YA VISA Print E-mail

 UTARATIBU MPYA YA KULIPIA ADA YA VISA YA KWENDA TANZANIA
 

Kwa wasafiri wanaohitaji Visa ya Tanzania,
 

Tunapenda kuwaarifu kuwa kuanzia tarehe 1 June 2013, Ubalozi haupokei fedha taslimu wala “Credit Card” kwa malipo ya visa.

Malipo yote yafanyike katika akaunti yetu ya Benki ya NORDEA Plus Giro Na. 103 7471-8 kwa walipaji walioko Sweden. Wanaolipia nje ya Sweden watumie (BIC/Swift Address: NDEASESS na IBAN: SE2895000099604210374718 (bila kuacha nafasi).

Risiti ya malipo iambatanishwe na fomu ya maombi utakapotumamaombi kwa posta au utakapoleta maombi kwa mkono Ubalozini.

Tafadhali epuka usumbufu kwa kulipa ada ya visa kabla ya kuleta maombi Ubalozini.

 
Tunashukuru kwa kuelewa.

 
Ubalozi wa Tanzania, Sweden

Last Updated ( Thursday, 13 June 2013 )
 
< Prev   Next >
© 2019 Embassy of The United Republic of Tanzania - Stockholm, Sweden

Comments for Webmaster
.