News Flash

As you probably realize, staying on Zanzibar (or any of Tanzania's islands) is generally a lot cheaper than being on safari. Don't forget to look at the options on Mafia Island also if any of your party are serious divers or snorkellers; Mafia doesn't have the same quality of beaches … but it's a lot quieter than Zanzibar, and can have a much more exclusive feel for a similar cost.
 
Home arrow News and Events arrow SHEREHE YA UFUNGUZI - CHAMA CHA WATANZANIA
SHEREHE YA UFUNGUZI - CHAMA CHA WATANZANIA Print E-mail

  

CHAMA CHA WATANZANIA SWEDEN

(TANZANISKA RIKSFÖRBUNDET)
Kwa watanzania pamoja na marafiki!

Kamati ya muda iliyoteuliwa Ubalozini kwa nia ya kuanzisha chama cha watanzania Sweden inawakaribisha katika hafla fupi ya ufunguzi wa chama na pia kuchagua viongozi watakaondeleza shuguli za chama.

Mgeni wa heshima katika ufunguzi na uchaguzi wa viongozi wa Chama cha Watanzania atakuwa Mh. Balozi Muhammed Mwinyi Haji Mzale.

Sehemu: Tanzania house, Näsby Allè 6, Täby
Tarehe na Wakati: Tarehe 28 Aprili 2012: Saa tisa mchana mpaka saa kumi na moja jioni (saa 9 mchana - 11 Jioni).

Atakayependa kugombea uongozi ajaze fomu ya kujiandikisha kugombea uongozi wa chama na kuituma kwa katibu kwa anuani pepe kama inavyoonekana hapo chini.
Wote mnakaribishwa na ukipata taarifa hii tafadhali mtumie na mwingine!

Kamati ya wanamchakato kupitia

Katibu wa Muda

Bi. Angela Wilberd:
This e-mail address is being protected from spam bots, you need JavaScript enabled to view it

 """"""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""

FOMU YA KUJIANDIKISHA KUGOMBEA UONGOZI WA CHAMA CHA WATANZANIA SWEDEN
(TANZANISKA RIKSFÖRBUNDET)

1.    JINA LA MGOMBEA UONGOZI:…………………………………………………………………………………….

2.    UMRI/MIAKA YA MGOMBEAJI:……………………………………………………………………………………...

3.    JINSIA MKE/MUME:…………………………………………………………………………………………………………

4.    MJI/MKOA ……………………………………………………………………………………………………………………….

5.    ANUANI …………………………………………………………………………………………………………………………..

6.    SIMU …………………………………………………………………………………………………………………………

7.    ANUANI YA BARUA PEPE…………………………………………………………………………………………………

8.    MGOMBEA UONGOZI ANAWEZA KUANDIKA MACHACHE KWA NINI ANGEPENDELEA KUONGOZA CHAMA   ……………………………………………………………………………………………………………………………………………
………………………………………………………………………………………………………………………………………………………
……………………………………………………………………………………………………………………………………………………..
………………………………………………………………………………………………………………………………………………………

TAREHE……………………………MAHALI……………………………………………SAHIHI……………………………………………..

Last Updated ( Tuesday, 24 April 2012 )
 
< Prev   Next >
© 2019 Embassy of The United Republic of Tanzania - Stockholm, Sweden

Comments for Webmaster
.