News Flash

As you probably realize, staying on Zanzibar (or any of Tanzania's islands) is generally a lot cheaper than being on safari. Don't forget to look at the options on Mafia Island also if any of your party are serious divers or snorkellers; Mafia doesn't have the same quality of beaches … but it's a lot quieter than Zanzibar, and can have a much more exclusive feel for a similar cost.
 
Home arrow News and Events arrow Tafrija na Nyama Choma Tanzania House Katika Picha
Tafrija na Nyama Choma Tanzania House Katika Picha Print E-mail

Chama cha Watanzania Stockholm (Kilimanjaro Club) kikishirikiana na Ubalozi wa Tanzania katika nchi za Scandinavia tarehe 21/6/2009 waliandaa tafrija ya pamoja kwa kuwakutanisha ndugu na marafiki wa watanzania kwenye ukumbi wa TANZANIA HOUSE, Stockholm.

Watanzania waliohudhuria walifurahi kwa kula, kunywa, kuongea na kucheza muziki wa kinyumbani (Bongo fleva, Pinda mgongo, Rusha roho, n.k.).

 

Kaimu Balozi Bi. Victoria Mwakasege alifungua sherehe kwa kuwakaribisha na kuwatakia jioni njema.

Picha zifuatazo zadhihirisha kufurahia kutaniko hilo na umoja wa Watanzania waishio Sweden.

 
 
 

 

 
 

 

 
 

 

Last Updated ( Friday, 31 July 2009 )
 
< Prev   Next >
© 2019 Embassy of The United Republic of Tanzania - Stockholm, Sweden

Comments for Webmaster
.