|
Mabadiliko ya Ada za Pasipoti |
|
|
|
Kwa Watanzania wote waishio nchi za Nordic na Baltic, Serikali imetangaza utaratibu mpya wa ada za maombi ya pasipoti mpya. Utaratibu huu unajumuisha pia ada mpya kwa maombi ya pasipoti zilizopotea kabla ya muda wake. Kuanzia tarehe 01/08/2009 ada kwa maombi yanayowasilishwa Ubalozi wa Tanzania Sweden itakuwa kama ifuatavyo; A) Waombaji wa pasi mpya SEK 600.00 B) Waombaji wa pasi iliyopotea kwa mara ya kwanza SEK 1100.00 C) Waombaji wa pasi iliyopotea kwa mara ya pili au zaidi SEK 1800.00 Ubalozi wa Tanzania Stockholm
|
|
Last Updated ( Wednesday, 05 August 2009 )
|