|
Tafrija na Nyama Choma Tanzania House Katika Picha |
|
|
Chama cha Watanzania Stockholm (Kilimanjaro Club) kikishirikiana na Ubalozi wa Tanzania katika nchi za Scandinavia tarehe 21/6/2009 waliandaa tafrija ya pamoja kwa kuwakutanisha ndugu na marafiki wa watanzania kwenye ukumbi wa TANZANIA HOUSE, Stockholm. Watanzania waliohudhuria walifurahi kwa kula, kunywa, kuongea na kucheza muziki wa kinyumbani (Bongo fleva, Pinda mgongo, Rusha roho, n.k.). |  Kaimu Balozi Bi. Victoria Mwakasege alifungua sherehe kwa kuwakaribisha na kuwatakia jioni njema. Picha zifuatazo zadhihirisha kufurahia kutaniko hilo na umoja wa Watanzania waishio Sweden. |
|
|
Last Updated ( Friday, 31 July 2009 )
|